MAELFU ya watu walikusanyika katika miji miwili mikubwa nchini Libya, yaTripoli na Benghazi Februari 15, 2013 kusherehekea miaka miwili tangu kuanza kwa mapinduzi yaliyosababisha kuangushwa…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Mahakama Kuu Kenya Yatua ‘Mzigo’ Kesi ya Akina Ruto na Kenyatta
MAHAKAMA Kuu nchini Kenya imeeleza kwamba haiwezi kuamua iwapo Uhuru Kenyatta na William Ruto wanapaswa kugombea nyadhifa katika uchaguzi mkuu ujao. Wawili hao wanakabiliwa na…
Continue Reading....Papa Benedict XVI Atangaza Kujiuzulu
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict XVI ametangaza kuachia madaraka ya kuongoza kanisa ifikapo mwishoni mwa mwezi huu, uamuzi ambao ni wa kwanza tangu…
Continue Reading....Wagombea Urais Kenya Kupambana Katika Mdahalo
WAGOMBEA urais nchini Kenya wanatarajia kuumana katika mdahalo utakaowakutanisha viongozi hao na kuoneshwa moja kwa moja kupitia runinga. Mdahalo huo ambao ni wa kwanza kabisa…
Continue Reading....Watu 100 Wauwawa Sudan Kusini Baada ya Kushambuliwa
WAKUU wa Sudan Kusini wanasema watu zaidi ya 100 wameuwawa kwenye wizi wa mifugo. Taarifa zinasema watu wa kabila la Lou Nuer walishambuliwa Ijumaa katika…
Continue Reading....Wauwawa Wakitoa Chanjo ya Polio Nigeria
RIPOTI kutoka nchini Nigeria zinasema kuwa watu 12 wakiwemo wafanyakazi waliokuwa wanatoa chanjo ya Polio kwa watoto, wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana. Maofisa…
Continue Reading....