KIONGOZI wa Ujumbe wa waangalizi wa Umoja wa Afrika, Joachim Chissano ameishauri tume huru ya uchaguzi nchini Kenya IEBC kushirikiana na vyombo vya usalama kuhakikisha…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Mkataba wa Kuleta Amani Kongo Watiwa Saini Ethiopia
MKATABA wa kumaliza vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo leo umetiwa saini mjini Addis Ababa-Ethiopia na viongozi wa nchi za Maziwa Makuu. Viongozi…
Continue Reading....Watu 7 Wauawa Wakitoka Msikitini Kenya
WATU saba wameuawa kwa kupigwa risasi katika shambulizi karibu na msikiti Kaskazini Mashariki mwa Kenya, karibu na mpaka na Somalia. Wanakijiji waliambia BBC kuwa watu…
Continue Reading....Pistorius Asema Alimuua Mpenzi Wake Pasipo Kujua
MWANARIADHA mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius alimuua mpenzi wake kimakosa baada ya kudhania kuwa alikuwa mwizi aliyekuwa amevamia nyumba yake. Aliiambia mahakama kuwa alimpenda…
Continue Reading....EAC Yatuma Waangalizi wa Uchaguzi Kenya
JUMUIYA ya Afrika Mashariki imetuma kundi la waangalizi 40 watakaochunguza uchaguzi mkuu wa Kenya. Tayari wachunguzi 18 kutoka Muungano wa Ulaya waliwasili nchini humo mwishoni…
Continue Reading....Al-Shabaab Wamuua Mwanajeshi wa Kenya
KUNDI la Al-shabaab limesema kuwa limemuua mwanajeshi wa Kenya usiku wa Alhamisi, baada ya kumalizika kwa muda walitoa kwa serikali ya Kenya kuwaachia Waislamu wanaoshikiliwa…
Continue Reading....