ZOEZI la upigaji kura nchini Kenya lililoanza saa 12 alfajiri leo 4.3.2013 bado inaendelea huku milolongo mirefu ya wapiga kura ikiendelea kushuhudiwa katika vituo mbali…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Amani Yazidi Kuhimizwa Uchaguzi Nchini Kenya
HUKU zoezi la upigaji kura likikaribia kuanza nchini Kenya, wagombea viti mbalimbali wamehimizwa kuzingatia kanuni za uchaguzi na kukubali matokeo ya uchaguzi huo ili kuepukana…
Continue Reading....Obama Aidhinisha Makato ya Bajeti
RAIS Barack Obama wa Marekani ameidhinisha makato ya dola bilioni 85 katika bajeti ya serikali, ambayo yanaweza kuathiri uchumi wa nchi hiyo na kusababisha upotevu…
Continue Reading....Bosi wa IEBC Awataka wagombea Kuheshimu Matokeo ya Uchaguzi
Na Isaac Mwangi, EANA MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi Kenya (IEBC), Ahmed Isaack Hassan ametoa wito kwa vyama vya siasa kuheshimu matokeo ya uchaguzi mkuu…
Continue Reading....Waumini Kanisa Katoliki Wamuaga Papa Benedikt wa 16, Awapa Ujumbe Mzito Makadinali
KIONGOZI wa kanisa katoliki ulimwenguni, Papa Benedikt wa 16 atakaestaafu kuanzia february 28 na kujishughulisha zaidi na ibada na kutafakari, ameongoza misa yake ya mwisho…
Continue Reading....Hatua za Lala Salama Uchaguzi wa Kenya
KINYANG’ANYIRO cha Uchaguzi Mkuu wa Kenya utakaofanyika Jumatatu kimeingia hatua ya lala salama hivi sasa, huku wagombea wakiendelea kuzunguka kwenye majimbo kuomba kura. Kura za…
Continue Reading....