RAIA wa Agentina, Cadinali Jorge Mario Bergoglio (76) amechaguliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa katoliki Duniani. Papa Mario Bergoglio ametangazwa usiku huu baada ya kumalizika…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Hivi Ndivyo Uhuru Kenyatta Alivyombwaga Odinga
MWANA wa kiume wa muasisi wa taifa la Kenya, Uhuru Kenyatta, ameshinda uchaguzi wa rais kwa asilimia 50.07 ya kura kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa…
Continue Reading....Rais Kikwete Amtumia Salamu za Pongezi Rais Mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jayaka Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pongezi Rais Mteule wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta. Katika salamu hizo…
Continue Reading....Uchaguzi Kenya; Kenyatta Aongoza kwa 54% Odinga 41%
Na dev.kisakuzi.com Kenya; MATOKEO ya awali ya uchaguzi Mkuu nchini Kenya yameanza kutangazwa baada ya siku ndefu huku kura za awali zikionesha mchuano mkali upo…
Continue Reading....Rais wa Venezuela Hugo Chavez Afariki
MAKAMU wa Rais wa Venezuela Nicholas Marduro ametangaza kifo cha Rais Hugo Chavez (58) kufuatia kuugua kwa muda mrefu maradhi ya Saratani. Rais Chavez alikuwa…
Continue Reading....Rais Hugo Chavez Aaga Dunia!
Habari zilizotufikia mitamboni muda si mrefu, ni kwamba yule Rais machachari wa Venezuela kule America ya kusini amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa saratani. Rais…
Continue Reading....