Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 80

Category: Habari za Kimataifa

Rais Mstaafu Mandela Alazwa Tena Hospitalini

Posted on: March 28, 2013 - jomushi
Rais Mstaafu Mandela Alazwa Tena Hospitalini

RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amelazwa tena hospitalini baada ya kuugua ugonjwa wa mapafu kwa mara nyingine tena. Taarifa kutoka kwa serikali…

Continue Reading....

Serikali ya Marekani Yatumia Mil. $3.7 Mwaka 2012 Kugharamia Marais Wastaafu

Posted on: March 26, 2013March 27, 2013 - Rungwe Jr.
Serikali ya Marekani Yatumia Mil. $3.7 Mwaka 2012 Kugharamia Marais Wastaafu

WASHINGTON KUWA kiongozi wa dunia huru (the leader of the free world) ni mpango wenye gharama, na gharama zake hazikomi siku unapofungasha virago vyako kutoka…

Continue Reading....

Waasi Wadaiwa Kuipinduwa Serikali Jamhuri ya Kati

Posted on: March 25, 2013 - jomushi
Waasi Wadaiwa Kuipinduwa Serikali Jamhuri ya Kati

WAASI wanadaiwa kuipindua serikali ya Rais Francois Bozize wa Jamhuri ya Kati, wamesema kwamba watasimamia serikali ya umoja wa kitaifa iliyopo, ikiwa na marekebisho madogo.…

Continue Reading....

Rwanda Mwenyeji wa Mkutano wa Sayansi EAC

Posted on: March 24, 2013March 25, 2013 - admin
Rwanda Mwenyeji wa Mkutano wa Sayansi EAC

Na Mwandishi Wetu, EANA WATU wapatao 200 wakiwemo watafiti, wanasayansi na wapanga sera wanatarajiwa kuhudhuria mkutano wa nne wa Afya na Sayansi wa Jumuiya ya…

Continue Reading....

Mali: Mwanajeshi auwawa Timbuktu

Posted on: March 21, 2013March 21, 2013 - jomushi
Mali: Mwanajeshi auwawa Timbuktu

MWANAJESHI mmoja wa Mali ameuwawa katika shambulizi la kigaidi katika mji wa kihistoria wa Timbuktu. Taarifa kutoka jeshi la Mali imesema kuwa shambulizi hilo lilitekelezwa…

Continue Reading....

Ntaganda: Kagame asema ataisaidia ICC

Posted on: March 21, 2013March 21, 2013 - jomushi
Ntaganda: Kagame asema ataisaidia ICC

RAIS wa Rwanda Paul Kagame amesema kuwa atataoa masaada wa haraka kumsafirisha mshukiwa wa uhalifu wa kivita nchini DRC Bosco Ntaganda kwa mahakama ya kimataifa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari