Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 8

Category: Habari za Kimataifa

Rais Barack Obama Atupia ‘Madongo’ Donald Trump

Posted on: June 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Marekani
Rais Barack Obama Atupia ‘Madongo’ Donald Trump

RAIS wa Marekani, Barack Obama, ameshtumu vikali matamshi ya mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump, kwamba waislamu wasiruhusiwe kuingia Marekani. Obama…

Continue Reading....

Mamba Akwapua Mtoto na Kutoweka Naye

Posted on: June 15, 2016June 15, 2016 - jomushi
Mamba Akwapua Mtoto na Kutoweka Naye

POLISI katika Jimbo la Florida nchini Marekani wanamtafuta mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka miwili aliyenyakuliwa na mamba karibu na bustani ya shirika la…

Continue Reading....

Maiti 117 za Waliokufa Maji Baharini Libya Zapatikana

Posted on: June 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Ajali ya Boti
Maiti 117 za Waliokufa Maji Baharini Libya Zapatikana

SHIRIKA la ‘Red Crescent organisation’ limesema kuwa idadi ya miili ambayo imepatikana hadi sasa katika ufukwe wa bahari Magharibi mwa Libya imeongezeka na kufikia miili…

Continue Reading....

Magaidi Yahofiwa Kushambulia Michuano ya Euro 2016

Posted on: May 31, 2016 - jomushi
Post Tags: Mpira wa Miguu
Magaidi Yahofiwa Kushambulia Michuano ya Euro 2016

TAIFA la Marekani linahofia kwamba huenda michuano ya soka ya Euro 2016 itakayofanyika nchini Ufaransa mwezi ujao ikashambuliwa na magaidi. Idara ya masuala ya kigeni…

Continue Reading....

Mrembo Ahukumiwa Kwenda Jela kwa Kumtusi Rais

Posted on: May 31, 2016 - jomushi
Mrembo Ahukumiwa Kwenda Jela kwa Kumtusi Rais

MAHAKAMA moja mjini Istanbul imemhukumu kwenda jela mshindi wa zamani wa tuzo ya urembo nchini Uturuki kwa kosa la kumtusi rais wa nchi hiyo, Recep…

Continue Reading....

Wahamiaji 700 Wahofiwa Kufa Maji Baharini…!

Posted on: May 30, 2016 - jomushi
Post Tags: Wahamiaji Haramu
Wahamiaji 700 Wahofiwa Kufa Maji Baharini…!

UMOJA wa Mataifa (UN) umebainisha kuwa wahamiaji wapatao 700 wanahofiwa kufariki katika kipindi cha siku tatu zilizopita katika bahari ya Mediterranean. Msemaji wa Shirika la…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari