NCHI ya Afrika Kusini imetangaza kutuma wanajeshi Jamhuri ya Demokrasi ya Congo kuungana katika kikosi maalumu cha Umoja wa Mataifa kilichoingilia kati nchini humo kuwanyan’ganya…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Waziri Marekani Atoa Sehemu ya Mshahara Wake kwa Wafanyakazi Serikalini
WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry amesema atakuwa akitoa mchango wa asilimia tano ya mshahara wake kila mwaka, ili kuwanufaisha wafanyikazi wa…
Continue Reading....Marekati Kutoa Dola Mil. 5 Atakaye Fanikisha Kukamatwa Kony
MAREKANI imetangaza kitita cha Dola milioni 5 kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa kiongozi wa kundi la waasi la Lord’s Resistance Army LRA, la nchini Uganda, ambaye…
Continue Reading....Korea Kaskazini Yaendeleza Vitisho
HALI ya wasiwasi imezidi katika rasi ya Korea baada ya Korea Kaskazini kufunga maeneo muhimu yanayounganisha eneo la viwanda na Korea Kusini, huku Urusi na…
Continue Reading....Vikosi vya Umoja wa Ulaya Vyaanza Kuwajibika Nchini Mali
WANAJESHI wa Umoja wa Ulaya wanaanza kuwapatia mafunzo wanajeshi wa Mali katika wakati ambapo opereshini za kijeshi zinazoongozwa na Ufaransa zinaendelea katika mji wa kaskazini…
Continue Reading....Uchaguzi Kenya Ulikuwa Huru na wa Haki -Mahakama
MAHAKAMA ya juu zaidi nchini Kenya, imeamua kuwa rais mteule Uhuru Kenyatta atasalia kuwa rais mpya wa Kenya baada ya kusema kuwa uchaguzi ulifanywa kwa…
Continue Reading....