MILIPUKO miwili katika eneo la kukamilisha mbio ndefu za Boston imesababisha majeruhi wasiojulikana idadi yao. Picha na video kutoka Boston zinaonyesha watu wakiwa wamechanganyikiwa wasijue…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Vicheko vya Matumaini?
Ni matumaini yetu kwamba waheshimiwa kwenye picha hapo hawacheki kwa unafiki, bali ni kwa mapenzi ya nchi yao ya Kenya. Wahenga walisema “Asiyekubali kushindwa si…
Continue Reading....Bashir Aamuru Mipaka ya Sudan Kufunguliwa
RAIS Omar al-Bashir wa Sudan, katika ziara yake ya kwanza mjini Juba tangu nchi ya Sudan ya Kusini kuwa huru mwaka 2011, ametangaza mipaka kati…
Continue Reading....Uganda Kuwa Mwenyeweji Mafunzo ya Kijeshi ya EAC
Na James Gashumba, EANA UGANDA itakuwa mwenyeji wa mafunzo ya tatu ya kijeshi ya kanda ya Afrika Mashariki mwezi ujao yatakayojumuisha askari 1250 ikiwa ni…
Continue Reading....Rais Kagame Ataka Watuhumiwa wa Mauaji ya Kimbari Washitakiwe
Na James Gashumba, EANA RAIS wa Rwanda, Paul Kagame ametoa wito kwa nchi ambazo bado zinawahifadhi watuhumiwa wa mauaji ya kimbari kuwarejesha nchini Rwanda au…
Continue Reading....Uhuru Kenyata Aapishwa Rasmi Kuiongoza Kenya
ALIYEKUWA Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta leo ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Kenya na kukabidhiwa madaraka na rais aliyemaliza muda wake, Mwai Kibaki. Kenyata…
Continue Reading....