Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 75

Category: Habari za Kimataifa

Rais wa Ujerumani Aanza Ziara Amerika Kusini

Posted on: May 9, 2013May 9, 2013 - jomushi
Rais wa Ujerumani Aanza Ziara Amerika Kusini

RAIS wa Ujerumani Joachim Gauck Mai 9, 2013 anaanza ziara ya siku tisa katika Bara la Amerika Kusini, ambayo itampeleka kwanza Colombia na baadae Brazil,…

Continue Reading....

President of the African Development Bank, on the Somalia Conference Held in London

Posted on: May 7, 2013 - jomushi
President of the African Development Bank, on the Somalia Conference Held in London

  LEADERS from more than 50 states and international organizations have gathered in London, UK to attend the Somalia Conference today on Tuesday (May 7th,…

Continue Reading....

Ndege za Israel Zafanya Mashambulizi Syria

Posted on: May 5, 2013 - jomushi
Ndege za Israel Zafanya Mashambulizi Syria

ISRAEL imefanya shambulio la anga dhidi ya shehena ya makombora ya Syria yaliokuwa yakisafirishwa kupelekwa kwa kundi la wapiganaji wa Hezbollah lilioko katika nchi jirani…

Continue Reading....

Guantanamo Kufungwa

Posted on: May 2, 2013May 2, 2013 - jomushi
Guantanamo Kufungwa

Huku wafungwa katika gereza la Guantanamo wakiendelea kujitesa kwa kugoma kula, Rais Barack Obama ameahidi tena kulishinikiza bunge la Marekani kulifunga gereza hilo. Katika mkutano…

Continue Reading....

Mei Mosi Yaadhimishwa kwa Ghadhabu

Posted on: May 2, 2013 - jomushi
Mei Mosi Yaadhimishwa kwa Ghadhabu

SIKU KUU ya wafanyakazi ulimwenguni imesherehekewa leo kwa maandamano na ghasia katika nchi mbali mbali. Nchini Ugiriki wanafanya mgomo kupinga sera za kukaza mkwiji na…

Continue Reading....

Wanajeshi wadaiwa kuhusika na maafa Baga

Posted on: May 2, 2013May 2, 2013 - jomushi
Wanajeshi wadaiwa kuhusika na maafa Baga

Picha za satelite zimeonyesha kuwa nyumba 2,275 ziliharibiwa wakati wa operesheni ya kijeshi ya kuwasaka wapiganaji wa Kiislamu mjini Baga Kaskazini mwa Nigeria mwezi uliopita.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari