WATU wane wamekufa na 13 kujeruhiwa katika mkanyagano ndani ya Kanisa la Kievangelisti nchini Ghana. Taarifa zinazohusianaafrika magharibiAjali hiyo ilitokea pale waumini walipoania kufikia maji…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Wapiganaji 30 wa Boko Haram Wauwawa Nigeria
TAKRIBAN wapiganaji 30, wa waasi nchini Nigeria, wameuawa kwenye mashambulio ya anga yaliyofanywa na jeshi la serikali, Kaskazini Mashariki mwa nchini hiyo. Msemaji wa jeshi…
Continue Reading....Mapambano Dhidi ya Boko Haram Mipakani Nchini Nigeria
SERIKALI ya Nigeria imetuma kikosi kikubwa cha wanajeshi pamoja na silaha kukabiliana na wapiganaji wa kikundi cha Boko Haram katika majimbo matatu ya Kaskazini Mashariki…
Continue Reading....Hali ya Hatari Yatangazwa Nchini Nigeria
MSEMAJI wa Rais wa Nigeria, Davip Okupi amesema rais Good Luck Johnthan ametangaza hali ya hatari katika majimbo matatu kaskazini mwa nchi. Akifafanua zaidi ameongeza…
Continue Reading....Wagonjwa wa Akili Watoroka Hospitalini Kenya, Boko Haram wamewateka Watoto
POLISI wanawatafuta wagonjwa karibia arobaini waliotoroka kutoka hospitali ya watu wenye matatizo ya kiakili, mjini Nairobi ya Mathare. Wagonjwa hao wanasemekana waliwashinda nguvu walinzi wao…
Continue Reading....Ulinzi Wahimarishwa Uchaguzi Nchini Pakistan
MAMILIONI ya raia wa Pakistan wanashiriki katika uchaguzi wa kihistoria utakaoonesha demokrasia katika kipindi cha mpito kwenye nchi inayomiliki silaha za nyuklia na nchi iliotawaliwa…
Continue Reading....