Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 73

Category: Habari za Kimataifa

Rais Museveni Afanya Mabadiliko Jeshini

Posted on: May 25, 2013 - jomushi
Rais Museveni Afanya Mabadiliko Jeshini

RAIS WA UGANDA Yoweri Museveni amefanya mabadiliko katika makamanda wake wakuu wa jeshi , huku kukiwa na taarifa za kutofautiana kwa majenerali wa jeshi kuhusu…

Continue Reading....

Nchi za Afrika zashauriwa kuwaenzi diaspora

Posted on: May 23, 2013 - jomushi
Nchi za Afrika zashauriwa kuwaenzi diaspora

Na Hassan Abbas, Addis Ababa Viongozi wa Afrika wametakiwa kuenzi mchango wa Waafrika walioko nje ya Bara na walioko nje ya nchi zao si tu…

Continue Reading....

Benki ya Dunia Kutoa Bil 1 Kusaidia Nchi za Maziwa Makuu

Posted on: May 23, 2013 - jomushi
Benki ya Dunia Kutoa Bil 1 Kusaidia Nchi za Maziwa Makuu

BENKI Kuu ya Dunia itatoa dola bilioni 1 kusaidia maendeleo ya eneo la maziwa makuu. Rais wa Benki hiyo Jim Yong Kim ameyasema hayo mjini…

Continue Reading....

Raia Waachwa Nje ya Mchakato wa Mtangamano wa EAC-Utafiti

Posted on: May 22, 2013 - jomushi
Raia Waachwa Nje ya Mchakato wa Mtangamano wa EAC-Utafiti

Na Mtuwa Salira, EANA Arusha MATOKEI ya kwanza ya utafiti juu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeonyesha kwamba jumuiya hiyo iliundwa kama chombo kilichoandaliwa…

Continue Reading....

Obama Kuzuru Afrika, Mashambulio Iraq 95 Wauwawa

Posted on: May 21, 2013 - jomushi
Obama Kuzuru Afrika, Mashambulio Iraq 95 Wauwawa

RAIS wa Marekani anatarajiwa kuzuru Bara la Afrika mwezi ujao ambako atazuru mataifa ya Senegal, Afrika kusini na Tanzania. Katika taarifa msemaji wa Ikulu ya…

Continue Reading....

Polisi Uganda Wavamia Ofisi za Vyombo vya Habari Kusaka Kielelezo

Posted on: May 21, 2013 - jomushi
Polisi Uganda Wavamia Ofisi za Vyombo vya Habari Kusaka Kielelezo

POLISI nchini Ugandan wamevamia ofisi za magazeti kufuatia taarifa kwamba Rais Yeweri Museveni anamuandaa mwanawe wa kiume kumrithi urais. Taarifa zinasema vituo viwili vya Redio…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari