HATIMAYE mwana mama Theresa Mary May amechukua usukani na kuwa Waziri Mkuu wa taifa la Uingereza. Akizungumza baada ya kupokea ufunguo wa makao rasmi ya…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
NMB Yawajaza Mapesa Washindi wa Pata Patia Maonesho ya Sabasaba
BENKI ya NMB imetangaza washindi wa droo nyingine ya mchezo wa bahati nasibu wa Pata Patia na kuwajaza mpesa washindi watatu wa mchezo huo katika…
Continue Reading....Ubaguzi wa Rangi: Mnigeria Auawa Italia
Polisi nchini Italia wamemtia mbaroni mwanamme mmoja anayeshukiwa kumpiga hadi kufa mhamiaji mmoja raia wa Nigeria katika shambulizi la kibaguzi kwa misingi ya rangi. Emmanuel…
Continue Reading....Wayahudi wa Ethiopia Kupelekwa Israel
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema serikali yake itaendelea na mpango wa kuwahamishia Wayahudi wa Ethiopia hadi nchini Israel. Amesema serikali yake itahakikisha Wayahudi…
Continue Reading....Waziri Mkuu wa Uingereza Atangaza Kujiuzulu
Waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya kushindwa kuwashawishi raia wengi wa Uingereza, kusalia katika muungano wa Ulaya. Cameron akiwa amejawa na…
Continue Reading....Maalim Seif Hamad Ahitimisha Ziara Marekani, Aelekea Canada.
Na Mwandishi Wetu Washington MAKAMU wa Kwanza Mstaafu wa Rais wa Zanzibar na Katibu mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, jana alimaliza…
Continue Reading....