Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 69

Category: Habari za Kimataifa

Jeshi Lampinduwa Rais wa Misri, Mohammed Morsi, Obama Apongeza

Posted on: July 4, 2013 - jomushi
Jeshi Lampinduwa Rais wa Misri, Mohammed Morsi, Obama Apongeza

MVUTANO kati ya mamilioni ya waandamanaji na Rais wao, Mohammed Morsi sasa umefikia tamati baada ya Jeshi la nchi hiyo kuamua kumpinduwa rais Morsi kwa…

Continue Reading....

Hali si Shwari Tena Nchini Misri

Posted on: June 30, 2013 - jomushi
Hali si Shwari Tena Nchini Misri

MISRI inaadhimisha mwaka mmoja wa Rais Mohammed Musri madarakani kwa siku nyengine ya maandamano ya umma ambapo wapinzani wamedhamiria kumuondoa madarakani na wale wanaomuunga mkono…

Continue Reading....

Obama Awaonya Viongozi Afrika, Akutana na Familia ya Mandela

Posted on: June 30, 2013 - jomushi
Obama Awaonya Viongozi Afrika, Akutana na Familia ya Mandela

RAIS Barack Obama wa Marekani akiwa katika ziara yake Afrika Kusini ameshauri viongozi wa Afrika na duniani kwa jumla kufuata mfano wa rais wa zamani…

Continue Reading....

Wageni Wamiminika Nyumba ya Mandela, Soweto

Posted on: June 29, 2013 - jomushi
Wageni Wamiminika Nyumba ya Mandela, Soweto

WATOTO wa shule, wafanyabiashara na watalii kutoka duniani kote, ikiwa ni pamoja na Wajerumani, wanamiminika kwenye nyumba ya zamani ya mzee Nelson Mandela katika kitongoji…

Continue Reading....

Nelson Mandela yu Mahututi…!

Posted on: June 24, 2013June 24, 2013 - jomushi
Nelson Mandela yu Mahututi…!

WANANCHI wa Afrika Kusini wanaelekea kazini asubuhi ya leo wakiwa na simanzi huku wakisubiri habari zaidi kuhusu afya ya rais wao mstaafu Nelson Mandela ambaye…

Continue Reading....

Rais Barack Obama Aacha Gumzo Berlin

Posted on: June 20, 2013 - jomushi
Rais Barack Obama Aacha Gumzo Berlin

AKIKUMBUSHIA historia kali ya Mji wa Berlin uliyogawika wakati mmoja, Rais Barack Obama amezitahadharisha Marekani na Ulaya dhidi ya kuridhika kunakosababishwa na amani, huku akiapa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari