POLISI wa Kenya wamewakamata zaidi ya wanafunzi elfu moja baada ya kupatikana wakiwa walevi mjini Nairobi wikendi hii. Polisi waliendesha msako katika baa anuai na…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Familia ya Mandela Washikana Ugoni
*Mandla amtuhumu Mbuso kuzaa na mkewe CHIFU Zwelivelile Mandlesizwe Dilubhunga ‘Mandla’ Mandela (39), ambaye ni mjukuu mkubwa wa kiume wa Rais mstaafu wa Afrika Kusini,…
Continue Reading....Moyo wa Mandela Ulisimama – Daktari
KUHARIBIKA kwa gari la wagonjwa lililombeba Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, kulisababisha moyo wa shujaa huyo kusimama kwa dakika 40. Hayo yalibainishwa…
Continue Reading....Mandela Aikoroga Afrika Kusini
*Mjukuu ataka Winnie, Graca wasiingilie ukoo *Askofu Tutu, Zuma, Makamu wa Rais waingilia SASA kuna dalili kuwa familia ya rais wa kwanza mweusi wa Afrika…
Continue Reading....Rais wa Muda wa Misri Aapishwa
JAJI Mkuu wa Mahakama ya Juu zaidi ya kikatiba ameapishwa nchini Misri kuwa rais wa muda baada ya jeshi kumng’oa madarakani rais aliyechaguliwa na raia…
Continue Reading....Mjukuu wa Mandela Ashindwa Kesi ya Makaburi
MJUKUU wa Mzee Nelson Mandela, Mandla Mandela ameshindwa kesi iliyowasilishwa mahakamani dhidi yake kwa tuhuma za kufukua makaburi ya jamaa za familia yake katika mzozo…
Continue Reading....