UWANJA wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta umefungwa kwa muda baada ya moto mkubwa kutokea katika uwanja huo mjini Nairobi. Kwa sasa moto huo…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Tsvangirai Kufungua Kesi Kupinga Matokeo ya Uchaguzi
SIKU moja baada ya Rais Robert Mugabe na Zanu PF kutangazwa kushinda Uchaguzi Mkuu nchini Zimbabwe, baadhi ya wafuasi wa upinzani kutoka chama cha MDC…
Continue Reading....Mugabe Ambwaga Tsvangirai Uchaguzi Mkuu Zimbabwe
RAIS Jacob Zuma wa Afrika Kusini amempongeza Robert Mugabe (89) kwa kuchaguliwa tena kuiongoza Zimbabwe, baada ya kumshinda mpinzani wake Morgan Tsvangirai katika muhula wa…
Continue Reading....Mugabe Ahaidi Kung’atuka Akishindwa Uchaguzi
RAIA wa Zimbabwe wanapiga kura katika uchaguzi wa Urais unaotajwa kuwa na ushindani mkali huku kukiwa na madai ya udanganyifu. Rais Robert Mugabe wa miaka…
Continue Reading....Papa Francisco Awataka Wakristu Kutopenda Mali na Madaraka
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francisco, amewataka Wakristu Wakatoliki kuachana na kile alichokiita kupenda mali na madaraka. Wito huo ameutoa wakati akiadhimisha Ibada…
Continue Reading....Mbakaji Maarufu Ajinyoga Gerezani
MWANAMUME anayetuhumiwa kwa makosa mengi ya umbakaji, ‘mbakaji sugu’ nchini Afrika Kusini, Sifiso Makhubo, amekutwa akiwa amefariki katika chumba chake gerezani. Sifiso Makhubo, aliyekuwa anakabiliwa…
Continue Reading....