RAIS Robert Mugabe wa Zimbabwe ameyaonya mataifa ya Marekani na Uingereza na kuzitaka ziondoe vikwazo dhidi ya nchi yake, ama sivyo Zimbabwe italipiza kisasi. Alisema…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Maofisa 24 wa Polisi Misri Wauwawa, Mohammed Badie Akamatwa
TAKRIBAN maofisa 24 wa Polisi nchini Misri wameuawa kwenye shambulizi la kushtukiza katika eneo la Rasi la Sinai. Taarifa zinasema polisi hao walikuwa kwenye msafara…
Continue Reading....Wanamgambo Wawauwa Polisi kwa Risasi Kenya
WANAMGAMBO wa kisomali wamewauawa kwa kuwapiga risasi polisi wanne wa Kenya karibu na mpaka wa Somalia, maofisa wamesema. Takriban watu 40 waliojihami kwa silaha walishambulia…
Continue Reading....Michel Djotodia Aapishwa Kuwa Rais
KIONGOZI wa zamani wa waasi ambaye alifanya mapinduzi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, Michel Djotodia ameapishwa kuwa rais. Djotodia ameahidi kuandaa uchaguzi kufikia mwanzo…
Continue Reading....Oprah Winfrey ‘Adhalilishwa’ Switzerland
MWANAMKE maarufu duniani, Oprah Winfrey amekumbana na kitendo cha ubaguzi wa rangi nchini Switzerland baada ya muuza duka mmoja kukataa kumuuzia mkoba wa kike wa…
Continue Reading....MDC Wamfikisha Robert Mugabe Mahakamani
CHAMA cha Movement for Democratic Change (MDC) nchini Zimbabwe kimewasilisha malalamiko yake mahakamani kupinga ushindi wa Robert Mugabe katika uchaguzi wa rais wa wiki iliyopita.…
Continue Reading....