RAIA mmoja wa nchi ya Canada amekamatwa nchini Colombia baada ya kujaribu kupanda ndege kurejea Canada akiwa na tumbo bandia la ujauzito alimokuwa ameficha dawa…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
William Ruto Aifuata Kesi Yake The Hague
MAKAMU wa Rais wa Kenya William Ruto anakwenda The Hague, Uholanzi, ikiwa ni siku moja kabla ya kuanza kesi inayomkabili katika Mahakama ya Kimataifa ya…
Continue Reading....G20 Watofautiana Kuhusu Syria, Papa Ataka Yafanywe Maombi ya Amani
MKUTANO wa viongozi wa nchi 20 zinazoongoza kiuchumi duniani, G20 umefanyika Septemba 6, 2013 huku viongozi hao wakitofautiana kuhusu mzozo wa Syria na Baba mtakatifu…
Continue Reading....Mohammed Morsi Afunguliwa Mashtaka ya Uchochezi
KIONGOZI wa mashtaka nchini Misri, amependekeza kuwa aliyekuwa Rais Mohammed Morsi afunguliwe mashtaka kwa kosa la kuchochea mauaji ya waandamanaji. Tuhuma hizo zinahusiana na ghasia…
Continue Reading....Rais Obama Aomba Bunge Kuidhinisha Vita, Mandela Atoka Hospitali Akiwa Mahututi
HAIKUSADIKIKA kuwa Marekani itachukua hatua za haraka za kijeshi dhidi ya Syria, baada ya Rais Barack Obama wa nchi hiyo kuliomba bunge lake kuidhinisha shambulio.…
Continue Reading....Watoto Wanyanyaswa Kingono Migodini Tanzania
SHIRIKA la haki za binaadamu la Human Rights Watch limechapisha ripoti inayoelezea mazingira magumu wanayokumbana nayo watoto wanaojiingiza kwenye ajira ya uchimbaji madini nchini Tanzania,…
Continue Reading....