Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 6

Category: Habari za Kimataifa

Ujerumani Wajenga Jumba la Mwalimu Nyerere, AU

Posted on: October 11, 2016 - jomushi
Ujerumani Wajenga Jumba la Mwalimu Nyerere, AU

  KANSELA wa Ujerumani Angela Merkel amezindua jumba jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika ambalo limepewa jina la Rais wa Kwanza wa Taifa…

Continue Reading....

Atakaye Kaidi Kufanya Usafi Tanga Kustakiwa..!

Posted on: October 10, 2016 - jomushi
Atakaye Kaidi Kufanya Usafi Tanga Kustakiwa..!

  MWENYEKITI wa mtaa wa Centrol Tanga, Diana Mussa, amewataka wakazi wa eneo hilo kuweka mazingira ya usafi kwa kila nyumba ili kuondosha kitisho cha…

Continue Reading....

Mke wa Rais Obama Kujadiliana na Wasichana Watanzania

Posted on: October 9, 2016 - jomushi
Mke wa Rais Obama Kujadiliana na Wasichana Watanzania

  WASICHANA 25 kutoka nchini Tanzania wanatarajiwa kufanya majadiliano ya moja kwa moja na mke wa Rais wa Marekani, Bi Michelle Obama wiki ijayo. Wasichana…

Continue Reading....

Hofu ya Kimbunga Yazua Taharuki Florida, Marekani

Posted on: October 6, 2016 - jomushi
Hofu ya Kimbunga Yazua Taharuki Florida, Marekani

  GAVANA wa Jimbo la Florida nchini Marekani, Rick Scott ametoa tahadhari kuwa uharibifu utakaotokea utakuwa mkubwa sana ikiwa kimbunga Matthew kitapiga maeneo ya jimbo…

Continue Reading....

Watu Wenye Silaha Washambulia ‘Kijiji’ Kenya, Wauwa

Posted on: October 6, 2016 - jomushi
Watu Wenye Silaha Washambulia ‘Kijiji’ Kenya, Wauwa

  WATU kadha wanahofiwa kufariki dunia baada ya watu wenye silaha kushambulia mtaa mmoja mjini Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya. Taarifa zinasema washambuliaji hao walivamia…

Continue Reading....

Magaidi Wavamia Jumba la Starehe Ujerumani, Watu Sita Wauawa

Posted on: July 22, 2016 - jomushi
Post Tags: Ugaidi
Magaidi Wavamia Jumba la Starehe Ujerumani, Watu Sita Wauawa

WATU sita wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wenye bunduki walio wafyatulia risasi watu katika jumba moja la kibiashara mjini Munich, Ujerumani. Taarifa za Polisi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari