Category: Habari za Kimataifa
Rwanda, Tanzania zinautawala bora zaidi EAC
Na James Gashumba,EANA Arusha, Oktoba 17, 2013 (EANA)– Tasisi ya Mo Ibrahim juu ya Utawala Bora Afrika, imebaini nchi za Rwanda na Tanzania kuwa…
Continue Reading....Ndege Yaanguka na Kuuwa Abiria Wote
ABIRIA wote waliokuwa wanasafiri na ndege moja nchini Laos wamefariki baada ya ndege iliyokuwa imewabeba kuanguka mtoni Kusini mwa nchi hiyo. Maofisa kutoka nchi jirani…
Continue Reading....WFP Yataka Lishe Kuwa Suala la Msingi Katika Mipango ya Maendeleo
SHIRIKA la Mpango wa Chakula wa Umoja la Mataifa (WFP) linaadhimisha Siku ya Chakula Duniani tarehe 16 Oktoba kwa kusisitiza umuhimu wa lishe katika kumbadilisha…
Continue Reading....EAC Wakubaliana Mgawanyo wa Vituo vya Mafunzo ya Polisi
By James Gashumba, EANA Wakuu wa majeshi ya polisi ya nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamekubaliana kuanzisha vituo mbalimbali vya mafunzo vyenye…
Continue Reading....Mwapachu Ataka 2014 Utangazwe Mwaka wa EAC
Na Isaac Mwangi, EANA, Arusha KATIBU Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Juma Mwapachu amependekeza kwamba mwaka 2014 utangazwe kuwa Mwaka wa…
Continue Reading....