Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 55

Category: Habari za Kimataifa

Meya ‘Chapombe’ Aokoka, Aapa Kutoonja Pombe Tena

Posted on: November 20, 2013November 20, 2013 - jomushi
Meya ‘Chapombe’ Aokoka, Aapa Kutoonja Pombe Tena

MEYA wa Mji wa Toronto nchini Canada, Rob Ford, ambaye awali alikuwa mtu wa matingasi (mlevi) ameamua kuacha ulevi na ‘kuokoka’. Jambo hili limetokea baada…

Continue Reading....

Watu 50 Wafukiwa na Kifusi, 20 Wauwawa kwa Bomu Somalia

Posted on: November 19, 2013 - jomushi
Watu 50 Wafukiwa na Kifusi, 20 Wauwawa kwa Bomu Somalia

WATU wawili wamefariki na wengine takriban 50 kukwama kwenye kifusi cha jengo baada ya paa la jumba la maduka lililokuwa likijengwa kuporomoka nchini Afrika Kusini.…

Continue Reading....

Mtu Mwenye Bunduki Ashambulia Ofisi za Wanahabari

Posted on: November 19, 2013 - jomushi

Liberation newspaper MSAKO umeanzishwa mjini Paris, Ufaransa baada ya mtu mmoja mwenye silaha kushambulia ofisi za gazeti la Liberation na pia kufyatua risasi nje ya…

Continue Reading....

AfDB Board Approves US120 Million Financing for Nairobi’s Outer Ring Road

Posted on: November 19, 2013 - jomushi
AfDB Board Approves US120 Million Financing for Nairobi’s Outer Ring Road

Nairobi, KENYA, THE Board of the African Development Bank on Wednesday November 13th approved US$120 million financing for the Nairobi Outer Ring road project which…

Continue Reading....

Mapigano Mapya Yazuka Libya Watu 40 Wauawa

Posted on: November 17, 2013 - jomushi
Mapigano Mapya Yazuka Libya Watu 40 Wauawa

MAPIGANO mapya yamezuka mjini Tripoli Libya Novemba 16, 2013 wakati idadi ya watu waliouawa katika mapigano wakati wa maandamano ya kupinga wanamgambo ikipanda na kufikia…

Continue Reading....

UN Yang’ang’ania Kenyatta na Ruto Kushtakiwa Sasa

Posted on: November 16, 2013 - jomushi
UN Yang’ang’ania Kenyatta na Ruto Kushtakiwa Sasa

BARAZA la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) limetupilia mbali ombi la Umoja wa Afrika (AU) kutaka kuahirishwa kwa mwaka mmoja kesi dhidi ya Rais…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari