POLISI nchini India wanachunguza kisa cha mtalii wa kike raia wa Denmark aliyebakwa na genge la watu mjini Delhi. Taarifa zinasema mwanamke huyo mwenye umri…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Mazungumzo ya Sudan Kusini Yakwama Kuanza
MATUMAINI ya kupatikana kwa amani nchini Sudan Kusini yameingia mashakani baada ya mazungumzo ya ana kwa ana ya pande zinazopingana yaliyokuwa yakitarajiwa kufanyika nchini Ethiopia…
Continue Reading....Kamanda wa Al Qaeda Afariki Dunia Akiwa Kizuizini
MAJESHI ya Lebanon yametangaza kuwa kamanda wa cheo cha juu wa kundi la kigaidi la Al Qaeda katika nchi hiyo Majid Al – Majid amekufa…
Continue Reading....Brotherhood Wakichoma Moto Chuo Kikuu cha Misri
WANAFUNZI ambao ni wanachuo na wafuasi wa kundi la Muslim Brotherhood lililopigwa marufuku nchini Misri wamepigana na polisi kwenye Chuo kikuu cha Al Azhar mjini…
Continue Reading....Viongozi wa IGAD Wajadili Mgogoro wa Sudan Kusini
VIONGOZI wa Afrika Novemba 27, 2013 wanazungumzia mzozo unaozidi kukuwa Sudan Kusini wakati Umoja wa Mataifa ukiharakisha uingizaji wa vikosi zaidi nchini humo kukomesha umwagaji…
Continue Reading....Vita Wenyewe kwa Wenyewe Vyanyemelea Sudan Kusini
JESHI la Sudan Kusini limesema linajiandaa kufanya shambulio kubwa dhidi ya vikosi vya waasi wakati nchi hiyo inayoelekea kuingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe…
Continue Reading....