NCHI wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) zimetangaza kutuma kikosi maalumu cha wanajeshi watakaoshughulikia mizozo kwa dharura ili kumaliza umwagaji damu katika nchi mbili za…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Obama Aapa Kuizunguka Congress
RAIS wa Marekani, Barack Obama ameapa kulizunguka bunge na kuchukua hatua kivyake ili kuwaimarisha watu wa tabaka la kati, akionyesha kukatishwa kwake tamaa na kasi…
Continue Reading....Majengo ya Polisi, Usalama Yashambuliwa Cairo
ZAIDI ya watu wanne wameuwawa na wengi kujeruhiwa kufuatia mashambulio matatu ya mabomu karibu na vituo vya polisi katika Mji Mkuu wa Misri Cairo. Shambulio…
Continue Reading....Serikali na Waasi Sudan Kusini Wasaini Kusitisha Mapigano
SERIKALI na waasi wa Sudan Kusini wamesaini makubaliano ya kusitisha mapigano, japokuwa wachambuzi wa mambo wanasema bado kuna kazi kubwa ya kuwadhibiti wapiganaji na kutekelezwa…
Continue Reading....UN Yaizuia Iran Kushiriki Mkutano wa Kusaka Aman Syria
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon amesitisha mwaliko wa kutaka nchi ya Iran kushiriki mazungumzo ya kutafuta suluhu kati ya pande zinazozozana…
Continue Reading....Mtafaruku Mazungumzo ya Amani Syria, Upinzani Wawakataa Iran Kushiriki
MAZUNGUMZO ya amani nchini Syria ambayo yanatarajiwa kufanyika baadaye wiki hii yamekumbwa na sintofahamu, baada ya Umoja wa Mataifa (UN) kuialika Iran kushiriki katika mazungumzo…
Continue Reading....