Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 5

Category: Habari za Kimataifa

Rais Donald Trump Aanza Kuzibadili Sheria za Obama

Posted on: January 21, 2017 - jomushi
Post Tags: Rais Donald Trump
Rais Donald Trump Aanza Kuzibadili Sheria za Obama

RAIS wa Marekani Donald Trump ameanza kutia saini maagizo ya rais, baadhi yake yakiwa ni ya kubadili yale yalioafikiwa na mtangulizi wake Barak Obama. Muda…

Continue Reading....

Rais Magufuli Akasilishwa na Uzushi Juu ya JK

Posted on: December 5, 2016 - Yohana Chance
Rais Magufuli Akasilishwa na Uzushi Juu ya JK

Katika siku za karibuni baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii imechapisha taarifa zinazomhusisha Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe.…

Continue Reading....

Donald Trump Aibuka Kidedea, Obama Amwalika Ikulu…!

Posted on: November 9, 2016 - jomushi
Donald Trump Aibuka Kidedea, Obama Amwalika Ikulu…!

  DONALD Trump amemshinda Hillary Clinton katika matokeo ya uchaguzi wa urais uliokuwa na ushindani mkali. Bi. Clinton amempigia simu Bw. Trump kumpongeza kwa ushindi…

Continue Reading....

Ban Ki-Moon Atibua Jeshi la Kenya, Lajitenga na UN Sudan

Posted on: November 3, 2016 - jomushi
Ban Ki-Moon Atibua Jeshi la Kenya, Lajitenga na UN Sudan

  RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta ametetea hatua ya nchi yake kuwaondoa wanajeshi wake kutoka kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani nchini Sudan…

Continue Reading....

Trump Asema Clinton Atareta Vita ya Dunia Utatua Mzozo Syria

Posted on: October 26, 2016 - jomushi
Trump Asema Clinton Atareta Vita ya Dunia Utatua Mzozo Syria

MGOMBEA nafasi ya urais wa Marekani kupitia Chama cha Republican, Donald Trump amesema mpango wa mpinzani wake Hillary Clinton kuhusu kutatua mzozo Syria utaanzisha “Vita…

Continue Reading....

Rais Kenyatta Atengua Hukumu ya Vifo kwa Wafungwa 2,747

Posted on: October 24, 2016 - jomushi
Rais Kenyatta Atengua Hukumu ya Vifo kwa Wafungwa 2,747

  WAFUNGWA wapatao 2,747 wa Kenya ambao walikuwa wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa sasa wamebadilishiwa adhabu na sasa hawata nyongwa tena. Kwa mujibu wa taarifa kutoka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari