WAKAZI wa kijiji kimoja Magharibi mwa Sri Lanka wameshangazwa na pia kwa namna nyingine kufurahishwa na tukio la ‘kunyesha’ kwa mvua ya Samaki wadogo kijijini…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Wadau Anuwai Wakutana Kuijadili Elimu EAC
Na Mtuwa Salira, EANA-Arusha WASOMI wabobevu, watawala, watafiti na waandaaji sera wanakutana mjini Arusha, Tanzania kuanzia Mei 5, 2014 kubadilishana uzoefu juu ya changamoto zinazoikabili…
Continue Reading....John Kerry Awasili Sudani Kusini Kusaka Amani
John Kerry awasili Sudan Kusini WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, ametaka kusitishwa kwa mapigano yanayoendelea Sudan Kusini ili kuepusha kutokea mauaji…
Continue Reading....Sudani Kusini Kujadiliwa EAC Oktoba
Na Ronald Ndungi, EANA, Arusha MAJADILIANO juu ya ombi la Sudani Kusini kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yameahirishwa hadi Oktoba mwaka huu, Mkutano…
Continue Reading....Marais EAC Kukutana Jumatano Mkoani Arusha
Na Mtuwa Salira, EANA, Arusha MARAIS wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) watafanya mkutano maalum mjini hapa Jumatano wiki hii, linaripoti Shirika…
Continue Reading....UN Yatafakari Vikwazo Sudan Kusini
BARAZA la Usalama la Umoja wa Mataifa linafikiria kuweka vikwazo dhidi ya makundi yanayopigana nchini Sudan Kusini, huku rais wa nchi hiyo Salva Kiir, akimfukuza…
Continue Reading....