Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 43

Category: Habari za Kimataifa

ANC Yashinda Uchaguzi Mkuu Afrika Kusini

Posted on: May 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Afrika Kusini
ANC Yashinda Uchaguzi Mkuu Afrika Kusini

CHAMA cha ANC kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliofanyika Jumatano ya wiki iliyopita. Tume ya uchaguzi nchini Afrika kusini imetangaza matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu…

Continue Reading....

Mchezaji wa Soka Marekani Ajitangaza Shoga

Posted on: May 11, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mchezaji Soka Ajitangaza Shoga
Mchezaji wa Soka Marekani Ajitangaza Shoga

MCHEZAJI mmoja wa timu ya mpira wa miguu ya nchini Marekani, National Footbal League (NFL), Michael Sam amejitangaza kuwa yeye ni shoga. Sam anakuwa ni…

Continue Reading....

Uporaji Sekta za Mbao, Uvuvi Unaizuia Afrika Isiendelee – Kofi Annan

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Uporaji rasilimali Afrika
Uporaji Sekta za Mbao, Uvuvi Unaizuia Afrika Isiendelee – Kofi Annan

RASILIMALI za Afrika zenye utajiri mwingi zinatoa nafasi ya kipekee ya ufanisi katika uimarishaji wa maisha ya raia wa Afrika, yasema ripoti mpya kubwa iliyozinduliwa…

Continue Reading....

Gordon Brown Aisifia Tanzani Kielimu Barani Afrika

Posted on: May 8, 2014May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Gordon Brown aisifu Tanzania
Gordon Brown Aisifia Tanzani Kielimu Barani Afrika

MJUMBE Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Elimu ya Kimataifa – UN Special Envoy for Global Education – na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza,…

Continue Reading....

Waafrika Kusini Wapiga Kura Kuchagua Wabunge

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Uchaguzi Afrika Kusini
Waafrika Kusini Wapiga Kura Kuchagua Wabunge

RAIA wa Afrika Kusini wanapiga kura kuwachaguwa wabunge, huki pakiwa kuna uwezekano wa chama tawala cha ANC kuendelea kutawa kwa mujibu wa utafiti uliofanywa toka…

Continue Reading....

Boko Haram Kuwauza Wasichana Iliyowateka, Polisi Watumia Fedha Kuwasaka

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Boko Haram
Boko Haram Kuwauza Wasichana Iliyowateka, Polisi Watumia Fedha Kuwasaka

KUNDI la Boko Haram limekiri kuwateka nyara wasichana wa shule moja nchini Nigeria na limesema kuwa linajiandaa kuwauza. Polisi nchini Nigeria wameahidi kumtunuku dola laki…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari