MABINGWA watetezi wa Kombe la Dunia, Hispania wameondolewa kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka 2014, inayoendelea nchini Brazil baada ya kuchalazwa mabao 2 kwa…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Al Shabaab Washambulia Kenya, Wauwa Raia 48 Lamu
WATU wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Kiislamu wameshambulia kituo cha polisi, hoteli na vijiji mjini Mpeketoni, pwani ya nchini ya Kenya. Makabiliano makali yameripotiwa kutokea sehemu…
Continue Reading....Wapiganaji Waislamu Wateka Mikoa Iraq
WAPIGANAJI wa Kiislamu wanadaiwa kuendelea na kuteka maeneo zaidi nchini Iraq, katika hatua ambayo Marekani imetaja kama ni tishio kwa eneo zima. Polisi wa Iraq…
Continue Reading....Dk Bilal Ahudhuria Hafla ya Kukabidhiwa Madaraka Prof. Arthur Mutharika
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal leo Jumatatu Juni 02, 2014 ameshiriki katika sherehe za kukabidhi madaraka kwa…
Continue Reading....Ban Ki Moon Ampongeza Rais Kikwete
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesifu jitihada za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mchango wake mkubwa katika kupigania Afya ya Mama na Mtoto. Bw.…
Continue Reading....Moto Uliozuka Hospitalini Wauwa Wagonjwa 21
WAGONJWA wapatao 20 pamoja na muuguzi wameuawawa baada ya moto mkubwa kuibuka hospitalini katika Jimbo la Janseong nchini Korea Kusini. Moto huo pia umewaacha wagonjwa…
Continue Reading....