WANAMGAMBO wa Al Shabaab wamedai kuwa wamemuua kwa kumfyatulia risasi mbunge maarufu mjini Mogadishu. Taarifa zinasema, Ahmed Mohamud Hayd (Mb) aliuawa baada ya kutoka hotelini…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Waislamu Waadhimisha Ramadhan
WAISLAMU wanaokadiriwa kufikia bilioni 1.6 duniani Jumapili wameanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan ambapo huacha kula na kunywa kwa kutwa nzima na kuepuka kila…
Continue Reading....Tanzania Yaongoza Mkutano wa Kamati ya Viongozi Afrika Kuhusu Tabia Nchi
Na Premi Kibanga, Malabo-Equatorial Guinea NCHI za Afrika zinatakiwa kuwa na msimamo mmoja kuhusu jinsi ya kukabiliana na madhara ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa…
Continue Reading....Bara la Afrika Latakiwa Kupunguza Madhara ya Hali ya Hewa
KUTOKANA na kiwango kilichofikiwa cha Tabia Nchi hivi sasa, nchi za Afrika hazina budi kuungana na kuchukua hatua za kupunguza madhara ya mabadiliko ya hali…
Continue Reading....Serikali Yamchunguza Aliyepewa Zawadi ya Mke Kijijini
TUME inayohusika na masuala ya usawa wa kijinsia nchini Afrika Kusini inafanya uchunguzi kuhusu madai kuwa Mkuu wa Shirika la Habari la SABC nchini humo…
Continue Reading....Uganda Yasema Haitishwi na Vikwazo vya Marekani Kuhusu Ushoga
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Uganda, Balozi James Mugume, amesema kuwa Uganda haitishwi na vikwazo ilivyowekewa na Marekani kama hatua ya…
Continue Reading....