Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 38

Category: Habari za Kimataifa

Ujerumani Mabingwa Kombe la Dunia 2014

Posted on: July 14, 2014July 14, 2014 - jomushi
Ujerumani Mabingwa Kombe la Dunia 2014

TIMU ya Taifa ya Ujerumani imetwaa kombe la dunia. Ujerumani imetwaa kombe hilo jana baada ya kuifunga timu ya Taifa ya Argetina 1-0. Mchezaji wa…

Continue Reading....

UN Yataka Mapigano Yasitishwe Gaza

Posted on: July 13, 2014July 13, 2014 - jomushi
Post Tags: UN na Mapigano Gaza
UN Yataka Mapigano Yasitishwe Gaza

BARAZA la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) limetaka mapigano baina ya Israel na Wapalestina yakome katika Ukanda wa Gaza, na kuanza kwa mazungumzo ya…

Continue Reading....

Israel Yazidisha Mashambulizi Gaza

Posted on: July 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Mashambulizi Gaza
Israel Yazidisha Mashambulizi Gaza

WATOTO watano wa Kipalestina ni miongoni mwa watu 21 waliouwawa katika mashambulizi ya angani yanayofanywa na Israel katika ukanda wa Gaza, hii ni kulingana na…

Continue Reading....

Wandishi wa Al Jazeera Wafungwa Miaka 7, Rais wa Misri Apinga…!

Posted on: July 7, 2014 - jomushi
Post Tags: Wandishi wa Al Jazeera Wafungwa Miaka 7
Wandishi wa Al Jazeera Wafungwa Miaka 7, Rais wa Misri Apinga…!

MAHAKAMA nchini Misri imewahukumu kwenda jela kwa kifungo cha kati ya miaka saba na kumi wandishi watatu wa habari wa Shirika la Habari la Al…

Continue Reading....

Wakenya Zaidi 20 Wauwawa Mkoa wa Pwani

Posted on: July 6, 2014 - jomushi
Post Tags: Wakenya Zaidi 20 Wauwawa
Wakenya Zaidi 20 Wauwawa Mkoa wa Pwani

TAKRIBANI watu 21 wameuwawa katika mashambulizi kwenye kaunti mbili za mwambao wa Kenya, ambapo Jeshi la Polisi Kenya limewalaumu wanaharakati wanaotaka kujitenga katika Mkoa wa…

Continue Reading....

Watanzania Waitikisa Marekani kwa Utapeli

Posted on: July 6, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Watanzania Marekani kwa Utapeli
Watanzania Waitikisa Marekani kwa Utapeli

BAADHI ya Watanzania wanaoishi Marekani huenda wakaozea jela baada ya kutiwa hatiani na wengine kukiri mahakamani kuhusika katika utapeli na wizi wa mamilioni ya Dola…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari