Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 37

Category: Habari za Kimataifa

Hatimaye Dawa na Kinga ya Ukimwi Vyagundulika

Posted on: July 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Dawa na Kinga ya Ukimwi Vyagundulika, featured
Hatimaye Dawa na Kinga ya Ukimwi Vyagundulika

WATAFITI katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Temple, Marekani wamegundua dawa ya kuangamiza Virusi Vya Ukimwi (VVU) ambayo ni ya uhakika zaidi ukilinganisha…

Continue Reading....

Sekta ya Uzalishajia Bidhaa Yadoda EAC

Posted on: July 21, 2014 - jomushi
Post Tags: Sekta ya Uzalishajia Bidhaa Yadoda EAC
Sekta ya Uzalishajia Bidhaa Yadoda EAC

Na Anne Kiruku (EANA) ROBO tu ya bidhaa zinazouzwa nje ya Kanda ya Afrika Mashariki zinatokana na sekta ya uzalishaji zikiwemo bidihaa za vyakula, vinywaji,…

Continue Reading....

Ras Makunja na Ngoma Africa Band Wapagawisha Tena Ujerumani Kwenye Tamasha la Afrika!

Posted on: July 20, 2014July 20, 2014 - Rungwe Jr.
Ras Makunja na Ngoma Africa Band Wapagawisha Tena Ujerumani Kwenye Tamasha la Afrika!

Tamasha hili linafikia tamati leo tarehe 20/7/2014, baada ya kuanza tarehe 17/7/2014. Tamasha hili hufanyika kila mwaka hapa jijini Tuebingen, Ujerumani, ambapo waafrika hutumia fursa…

Continue Reading....

Tamasha la Waafrika Ujerumani Lafunika!

Posted on: July 20, 2014July 20, 2014 - Rungwe Jr.
Tamasha la Waafrika Ujerumani Lafunika!

Tamasha hili linafikia tamati leo tarehe 20/7/2014, baada ya kuanza tarehe 17/7/2014. Tamasha hili hufanyika kila mwaka hapa jijini Tuebingen, Ujerumani, ambapo waafrika hutumia fursa…

Continue Reading....

Ndege ya Malaysia Yaanguka, Yaua Abiria 295

Posted on: July 17, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Ndege ya Malaysia Yaanguka
Ndege ya Malaysia Yaanguka, Yaua Abiria 295

NDEGE ya Shirika la Ndege Nchini Malaysian ikiwa na abiria 295 imeanguka Mashariki mwa Ukraine ikiwa safarini kutoka Amsterdam, Uholanzi kuelekea Kuala Lumpur na kuua…

Continue Reading....

Mtuhumiwa wa Ugaidi Kenya Akamatwa Tanzania

Posted on: July 17, 2014 - jomushi
Post Tags: Mtuhumiwa wa Ugaidi Kenya Akamatwa Tanzania
Mtuhumiwa wa Ugaidi Kenya Akamatwa Tanzania

MMOJA wa watuhumiwa wa matukio ya ugaidi nchini Kenya, Jihad Gaibon Swaleh, amefikishwa mahakamani nchini Tanzania kwa tuhuma hizo. Mshukiwa huyo amesomewa mashtaka ya kufadhili…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari