Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 36

Category: Habari za Kimataifa

George Bush Ampongeza Mama Salma Kikwete

Posted on: August 8, 2014 - jomushi
Post Tags: George Bush Ampongeza Mama Salma Kikwete
George Bush Ampongeza Mama Salma Kikwete

Na Anna Nkinda – Maelezo, Washington RAIS wa zamani wa Marekani George W. Bush amempongeza Mke wa Rais Mama Kikwete kutokana na kazi nzuri anayoifanya…

Continue Reading....

Rais Kikwete Asema Umeme Kikwazo cha Maendeleo Afrika

Posted on: August 7, 2014 - jomushi
Post Tags: Kikwete Asema Umeme Kikwazo cha Maendeleo Afrika
Rais Kikwete Asema Umeme Kikwazo cha Maendeleo Afrika

Na Mwandishi Maalum, Washington, D.C. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa moja ya sababu kubwa zinazokwamisha maendeleo makubwa na…

Continue Reading....

EAC Yaonguza Kupunguza Migogoro katika Nchi zake

Posted on: August 1, 2014 - jomushi
Post Tags: EAC
EAC Yaonguza Kupunguza Migogoro katika Nchi zake

Na James Gashumba, EANA Nchi tatu za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) za Rwanda, Burundi na Tanzania zimetajwa kuwa ni miongoni mwa nchi zilizofanikiwa kuharakisha…

Continue Reading....

Kijiji Chafunikwa na Udongo, Watu 20 Wafariki

Posted on: July 31, 2014 - jomushi
Post Tags: Kijiji Chafunikwa na Udongo
Kijiji Chafunikwa na Udongo, Watu 20 Wafariki

ZAIDI ya watu 200 wanahofiwa kukwama katika maporomoko ya udongo nchini India, huku 20 wakithibitika kufariki dunia katika Kijiji cha Malin karibu na Mji wa…

Continue Reading....

Liberia Yaomba Kusaidiwa Kukabiliana na Ebola

Posted on: July 31, 2014 - jomushi
Post Tags: Liberia Yaomba juu ya ebola
Liberia Yaomba Kusaidiwa Kukabiliana na Ebola

WAZIRI wa Habari nchini Liberia, Lewis Brown ameomba msaada nchi yake kusaidiwa kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola unaolikabili taifa hilo. Amesema Liberia…

Continue Reading....

Boko Haram Wamteka Mke wa Naibu Waziri Mkuu Nigeria

Posted on: July 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Boko Haram Wamteka Mke wa Naibu Waziri Mkuu Nigeria
Boko Haram Wamteka Mke wa Naibu Waziri Mkuu Nigeria

JESHI la Cameroon limesema kuwa kundi la wapiganaji Waislamu la Nigeria, Boko Haram, limemteka nyara mke wa Naibu wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo ambaye…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari