RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Septemba 2, 2014, ameungana na viongozi wengine wa Afrika na wajumbe kutoka nchi mbalimbali duniani kuhudhuria…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Ujerumani Kusaidia Silaha Iraq, Marekani Waombwa Silaha
UJERUMANI inatarajia kupeleka silaha kwenye Jeshi la Wakurd wa Iraq zikiwemo bunduki na silaha nzito zinazoweza kutumika kushambulia kwenye vita kukabiliana na mashambulizi ya vifaru…
Continue Reading....Wanawake Wapewa Vyoo 108 vya Msaada India
KIKUNDI kimoja cha kujitolea nchini India kimegawa vyoo 108 bure katika Kijiji cha Katra Sahadatganj ambako wasichana watatu waliuawa kwa kunyongwa katika miti mwezi Mei…
Continue Reading....Marekani Yaimwagia Lawama Misri na Falme za Kiarabu
MAOFISA nchini Marekani wamesema mataifa ya Misri na Umoja wa Falme za Kiarabu zilihusika na mashambulio nchini Libya wiki iliyopita kuwalenga wanamgambo wa Kiislamu wanaopambana…
Continue Reading....Marekani Yawashambulia Islamic State Iraq
MAJESHI ya Marekani yameendelea kuwashambulia wapiganaji wa Islamic State (IS) nchini Iraq licha ya vitisho kutoka kwa kundi hilo kuwa watawaua mateka wengine Wamarekani iwapo…
Continue Reading....Zahanati ya Ebola Yaibiwa Liberia…!
TAARIFA kutoka Liberia zinasema kuwa kituo kilichotengwa na kuwekewa karantini kwa sababu ya ebola, kimeshambuliwa na zana kuibiwa mjini Monrovia. Baadhi ya ripoti zinasema wagonjwa…
Continue Reading....