Na Premi Kibanga, New York – Marekani USHIRIKI wa Mataifa mbalimbali duniani katika maendeleo na utatuzi wa matatizo yanayozikumba nchi hizo, ndiyo njia kuu na…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Tanzania Ipo Tayari Kiushirikiano na UN Kutekeleza MDGs
TANZANIA iko tayari kushirikiana na wanachama wote wa Umoja wa Mataifa (UN) kufikia makubaliano ya Malengo ya Maendeleo mapya baada ya Malengo ya Milenia (MDGs)…
Continue Reading....Muuguzi Ahukumiwa Kifo kwa Kutoa Mimba
MUUGUZI Jackson Namunya Tali (41) nchini Kenya amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kumtoa mgonjwa mimba iliyosababisha kifo baada ya kuvuja damu nyingi…
Continue Reading....Rais Kikwete ‘Ajivunia’ Uhuru wa Habari Tanzania Mkutanoni
Na Mwandishi Maalum, New York TANZANIA inatarajiwa kupata sheria ya Uhuru wa kupata Habari ifikapo Mwezi Februari, Mwaka 2015. Rais Jakaya Kikwete amesema hayo Septemba…
Continue Reading....JK: Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanahatarisha Uhai wa Binadamu
MABADILIKO ya Tabia Nchi duniani yanahatarisha Uhai na Maendeleo ya Binadamu, ikiwemo kurudisha nyuma au kufuta kabisa Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii yaliyokwishapatikana. Rais Jakaya…
Continue Reading....JK Aongoza Mikutano Miwili ya Viongozi wa Afrika
RAIS Jakaya Kikwete Septemba 22, 2014 ameongoza mikutano miwili mikubwa ya viongozi wa Afrika kuandaa agenda ya pamoja itakayo wasilishwa kwenye mkutano wa Umoja wa…
Continue Reading....