WATU 80 wameuawa na wengine zaidi ya mia tatu kujeruhiwa, baada ya bomu lililotegwa kwenye gari kulipuka mjini Kabul. Maafisa nchini humo wanasema mlipuko mkubwa…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Marekani Yajaribu Mfumo Wake wa Utenguaji Makombora
NCHI ya Marekani kwa mara ya kwanza imefanikiwa kufanya majaribio kwenye mfumo wake wa kudungua makombora ya masafa marefu ‘ICBM’ hii ikiwa ni kwa…
Continue Reading....Rais wa Marekani Trump Akiwa Ziarani Nchini Israel
RAIS wa Marekani Donald Trump amewasili nchini Israel akiendelea na ziara yake ya kikazi katika maeneo ya Mashariki ya Kati ambapo pia anatarajiwa…
Continue Reading....Ndege Vita za China Zaizuia Ndege ya Marekani
NDEGE mbili za kijeshi za China zimeizuia ‘vibaya’ ndege ya Marekani kulingana na jeshi la Marekani. Ndege hiyo inayohusika na kufanya uchunguzi, ilikuwa katika…
Continue Reading....Rais Donald Trump Aipa Tanzania Dola Milioni 526
SERIKALI ya Marekani kupitia ofisi ya rais Donald Trump imetangaza kupatia Tanzania ufadhili wa kukabilana na virisu vya ukimwi. Marekani, ambayo siku chache zilizopita ilitangaza…
Continue Reading....Trump Aunga Mkono Mpango wa Nyuklia wa Iran
IKULU ya Whitehouse nchini Marekani imeendeleza mpango wa kuipunguzia vikwazo Iran licha ya rais Donald Trump kuukosa mpango huo. Kuondolewa kwa vikwazo ni miongoni mwa…
Continue Reading....