SERIKALI ya Nigeria imesema kuwa imefikia makubaliano na kundi la wapiganaji wa Boko Haram kuhusu kuachiwa kwa wasichana waliotekwa nyara wa kutoka Chibok. Mkuu wa…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Rais Obama Kulitumia Jeshi Kupambana na Ebola
RAIS wa Marekani, Barack Obama amethibitisha wito wa kulitumia jeshi la nchi hiyo na wale wa akiba iwapo watahitajika kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa…
Continue Reading....UN Yaipongeza Tanzania Kuwatwaa Warundi 162,156
UMOJA wa Mataifa (UN) umempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete kwa uamuzi wake wa kutoa uraia wa Tanzania kwa waliokuwa…
Continue Reading....Mfanyakazi UN Aliyeambukizwa Ebola Afariki
MFANYAKAZI wa Umoja wa Mataifa aliyeambukizwa Ebola amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani. Madaktari katika hospitali ya Leipzig wamesema mtu huyo mwenye umri wa…
Continue Reading....Maonesho ya Jua Kali Kufanyika Kigali
Na James Gashumba, EANA MAONESHO ya kanda maarufu kwa jina la Jua Kali/Nguvu Kazi yatafanyika mjini Kigali, Rwanda Desemba 1, mwaka huu. Maonesha hayo yanayoandaliwa…
Continue Reading....Idara Yamtetea Pistorius, Yataka Afungwe Nje
IDARA ya Kurekebisha Tabia nchini Afrika Kusini imeomba mwanariadha maarufu wa nchi hiyo Oscar Pistorius anayetuhumiwa kwa mashtaka ya kumuua mpenzi, Reeva Steenkamp apewe kifungo…
Continue Reading....