Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 28

Category: Habari za Kimataifa

Wananchi Bukina Faso Waandamana Kumpinga Rais

Posted on: October 28, 2014October 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Bukina Faso, katiba, Rais
Wananchi Bukina Faso Waandamana Kumpinga Rais

KUMETOKEA vurugu kubwa baina ya maelfu ya waandamanaji na maofisa wa polisi katika Mji Mkuu wa Burkina Faso, Ougadougou wakati maelfu ya raia wa nchi…

Continue Reading....

China Kupeleka Dola Milioni 85 Kusaidia Mapambano ya Ebola

Posted on: October 25, 2014 - jomushi
Post Tags: China, Ebola, Msaada, XI Jinping
China Kupeleka Dola Milioni 85 Kusaidia Mapambano ya Ebola

JAMHURI ya Watu wa China Oktoba 24, 2014 imetangaza kuwa kwa mara ya nne katika kipindi kifupi inapeleka msaada wa dawa, vifaa na mahitaji mengine…

Continue Reading....

Mjomba Aliyejichimbia Ughaibuni, Apatikana Baada ya Miaka 40!

Posted on: October 24, 2014October 24, 2014 - Rungwe Jr.
Mjomba Aliyejichimbia Ughaibuni, Apatikana Baada ya Miaka 40!

  Mhindi (pichani)  aliyefahamika kwa jina la Abdulla Punathil Usman amepatikana akiwa mgonjwa hospitalini, nchini Dubai. Usman hakuwa na mawasiliano na familia yake na wala hawakuwa…

Continue Reading....

JK Afagilia Kiwango cha Uwekezaji China

Posted on: October 24, 2014 - jomushi
Post Tags: China, Rais Kikwete, Uwekezaji
JK Afagilia Kiwango cha Uwekezaji China

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa anafurahishwa na kiwango cha uwekezaji wa makampuni ya Jamhuri ya Watu wa China katika…

Continue Reading....

Ebola Ilivyoteketeza Familia Yangu – Alexander Kollie

Posted on: October 23, 2014October 23, 2014 - jomushi
Post Tags: Familia, Liberia, Ugonjwa wa Ebola
Ebola Ilivyoteketeza Familia Yangu – Alexander Kollie

MFANYAKAZI wa Shirika la madaktari la Medecins Sans Frontieres (MSF) nchini Liberia amesema hawezi kuusahau ugonjwa wa Ebola maishani kwake kwa kile kuteketeza familia yake.…

Continue Reading....

Wakatoliki Wapinga Ushoga

Posted on: October 19, 2014 - jomushi
Post Tags: Pope Francis, ushoga, Wakatoliki
Wakatoliki Wapinga Ushoga

MAKUNDI ya kikatoliki yanayopigania haki za wapenzi wa jinsia moja yameelezea ghadhabu yao kutokana na hatua ya maaskofu wa kanisa hilo ya kukataa mapendekezo ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari