LUTENI Kanali Issac Zida amechaguliwa na viongozi wa Jeshi la Bukina Faso kuiongoza nchi hiyo kuelekea katika taratibu za kufanya uchaguzi. Baada ya kutoka kwa…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Mambo Yaharibika Bukina faso Jeshi Lapindua Nchi
AMIRI Jeshi Mkuu wa Jeshi la Burkina Faso, Jenerali Honore Traore ametangaza kuvunjwa kwa serikali na bunge la nchi. Kiongozi huyo mkuu wa jeshi hata…
Continue Reading....Mke Ampikia Mumewe Kondom na Mkaa Kama Chakula
MWANAMKE mmoja mwenye watoto watatu katika Wilaya ya Kole nchini Uganda ameamua kumpikia mumewe kondom kama chakula kufuatia mume huyo kuwa na ugomvi usiokwisha kati…
Continue Reading....Kumbe Mmiliki Kampuni Tajiri ya Apple ni Shoga..!
MKUU wa Kampuni Maarufu Duniani na Tajiri ya Apple, Tim Cook ametangaza kuwa yeye ni shoga. Bilionea huyo Cook alisema anajivunia kuwa shoga. Cook alitoa…
Continue Reading....Waandamanaji Bukina faso Wachoma Bunge Kumpinga Rais
WANANCHI wa Bukina Faso wanaoendeleza maandamano wameteketeza majengo ya Bunge mjini Ougadougou, ikiwa ni hatua ya kupinga kuongeza muhula wa kutawala kwa Rais Blaise Compaore…
Continue Reading....Hatimaye Rais wa Zambia, Michael Sata Amefariki Dunia
RAIS wa Zambia, Michael Chilufya Sata amefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa ya wanafamilia wa Rais huyo, Michael Sata imeviambia vyombo vya habari kuwa rais…
Continue Reading....