Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 26

Category: Habari za Kimataifa

Polisi Wawapiga Mabomu ya Machozi Wabunge Bungeni

Posted on: November 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Bungeni, nigeria, Polisi
Polisi Wawapiga Mabomu ya Machozi Wabunge Bungeni

POLISI wa Mji Mkuu wa Lagos, nchini Nigeria, wamefyatua gesi ya kutoa machozi ndani ya Jengo la Bunge, na kulazimisha kuahirishwa kwa mjadala muhimu wa…

Continue Reading....

Mtoto wa Miaka 3 Abakwa na Ndugu, Ateswa…!

Posted on: November 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Abakwa na Ndugu, Ateswa, mtoto
Mtoto wa Miaka 3 Abakwa na Ndugu, Ateswa…!

HUKU kukiwa na ukimya, mtoto Neelofar mwenye umri wa miaka mitatu pekee amepakatwa na nyanyake katika kiti cha nyuma cha texi ikimkimbiza hospitalini. Ndani ya…

Continue Reading....

Islamic State Wamuua Kinyama Mmarekani, Boko Haram Watimuliwa Chibok

Posted on: November 16, 2014 - jomushi
Post Tags: Boko Haram, Islamic State, Marekani
Islamic State Wamuua Kinyama Mmarekani, Boko Haram Watimuliwa Chibok

KANDA moja ya video iliowekwa mtandaoni inaonesha mauaji ya kinyama mfanyakazi wa huduma za misaada raia wa Marekani, Abdul Rahman Kassig ambaye anajulikana kama Peter…

Continue Reading....

Marekani Yatamba Kufanikiwa Mapigano na Islamic State

Posted on: November 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Islamic State, Marekani
Marekani Yatamba Kufanikiwa Mapigano na Islamic State

MKUU wa majeshi ya Marekani Generali Jack Dempsey amesema kampeni ya miezi mitatu dhidi ya dola ya kiislamu ‘Islamic State’ imekuwa na mafanikio, lakini akaeleza…

Continue Reading....

Barack Obama Kushirikiana na Wapinzani Wake

Posted on: November 6, 2014 - jomushi
Post Tags: Barack Obama, Marekani, Republican
Barack Obama Kushirikiana na Wapinzani Wake

KIONGOZI mpya wa Baraza la Senate la Marekani kutoka chama cha Republican na Rais Barack Obama wote wameahidi kumaliza mvutano wa kisiasa ambao umewavunja moyo…

Continue Reading....

Burkina Faso Kufanya Uchaguzi Mkuu Novemba 2014

Posted on: November 6, 2014 - jomushi
Post Tags: Burkina Faso, Luten Kanal Isaac Zida, Uchaguzi Mkuu
Burkina Faso Kufanya Uchaguzi Mkuu Novemba 2014

Burkina Faso Kufanya Uchaguzi Mkuu Novemba 2014 VYAMA vya siasa nchini Burkina Faso vimekubaliana kufanyika kwa uchaguzi mkuu mwezi Novemba 2015 ikiwa ni harakati za…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari