KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Farncis amewasili nchini Sri Lanka kwa ziara ambako anatarajiwa kusisitiza umhimu wa mazungumzo baina ya makundi mbalimbali ya imani…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Boko Haram Wateka Kambi ya Jeshi Nigeria, Shahidi wa ICC Afariki
MAOFISA nchini Nigeria wamesema kuwa kundi la Boko Haram limeuteka Mji na kambi moja ya kijeshi inayotumiwa na wanajeshi wa kimataifa wanaojaribu kukabiliana na wapiganaji…
Continue Reading....Boti Yazama na Kuuwa 36, Askari wa UN Wauwawa Somalia
TAARIFA kutoka Kaskazini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo imeeleza kuwa mashua moja iliyokuwa imebeba bidhaa na abiria imezama na karibu watu 36 wamefariki…
Continue Reading....Mbunge Adai Kuvuliwa Nguo Bungeni
KUFUATIA vurugu na purukushani zilizoonekana katika bunge la Kenya wakati wa kupitishwa kwa mswada wa usalama, mbunge mmoja mwanamke sasa amejitokeza na kudai kwamba wabunge…
Continue Reading....Dk Bilal Amwakilisha JK Mkutano wa Kimataifa wa Mazingira Duniani
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal Desemba 09, 2014 amemuwakilisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ni Mwenyekiti Kamati…
Continue Reading....JK Afungua Jengo jipya Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana, Jumatatu, Desemba 8, 2014, amefungua rasmi Jengo la Shughuli Nyingi (Multipurpose Hall) la…
Continue Reading....