Kwa ufupi Hoja ya watetezi wa Kiingereza inajumuisha pia madai kuwa kuendelea kutumia Kiswahili, ni kuwafanya Watanzania washindwe kushindana kiuchumi katika…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Mahakama Afrika Kuanza Kikao Jumatatu Arusha
Na Mtuwa Salira, EANA MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) inaanza kikao chake cha kawaida cha 36 cha mwaka, kuanzia Machi…
Continue Reading....Boko Haramu Wasababisha Uchaguzi Kuahirishwa
MKUU wa Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria, Attahiru Jega, amesema upigaji kura hauwezi kufanyika nchini humo Jumamosi ijayo kwa sababu wanajeshi wanaotakiwa kulinda vituo vya…
Continue Reading....Nywele za Marehemu Lincoln Zauzwa Dola 25,000
VITU mbalimbali vya kumbukumbu za aliyekuwa rais wa 16 wa Marekani Abraham Lincoln vimeuzwa katika mnada mjini Dallas nchini Marekani na kupata dola 800,000. Msokoto…
Continue Reading....Kasisi wa Kwanza Mwanamke Aapishwa, Watoto wa Mubarak Waachiwa
KANISA moja la Kianglikana nchini Uingereza limemuapisha mwanamke wa kwanza kuwa kasisi. Mchungaji Libby Lane ameapishwa katika sherehe iliofanyika eneo la York Minster, na atakuwa…
Continue Reading....Msaidizi Nelson Mandela Alaumiwa kwa Ubaguzi
MIAKA 20 ya kuwa msaidizi wa Nelson Mandela na kuwa mfano mwema maridhiano ya rangi baada ya miaka mingi ya ubaguzi nchini Afrika Kusini imefutwa…
Continue Reading....