Picha na Habari zote zimeletwa na Mwakilishi wa Thehabari, Tuebingen, Ujerumani
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Raia wa Burundi Wapiga Kura Kumchagua Rais Wao
UCHAGUZI wa Rais umeanza Burundi baada ya kumalizika kwa ghasia na maandamano ya miezi kadhaa iliyopita, hatimaye raia wa Burundi wamepiga kura ili kumchagua rais…
Continue Reading....Asilimia 70 ya Wagonjwa wa Saratani Hupoteza Maisha – Rais Kenyatta
Na Anna Nkinda – Nairobi, Kenya ASILIMIA 70 ya wagonjwa wa saratani hupoteza maisha katika nchi zinazoendelea na katika Bara la Afrika lenye watu zaidi…
Continue Reading....Rais wa Zamani wa Chad Kufikishwa Mahakamani
RAIS wa zamani wa Chad Hissene Habre atafikishwa mahakamani nchini Senegal kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, ukatili dhidi ya binadamu na uhalifu wa…
Continue Reading....Wanajeshi Wanne wa Marekani Wauwawa, 40 Walipuliwa Nigeria
MTU mwenye silaha amewaua askari wanne wa Jeshi la Majini la Marekani katika shambulio lililofanywa kwenye majengo mawili ya jeshi hilo katika Mji wa Chattanooga,…
Continue Reading....Rais Kikwete Awasili Uswisi, Aanza Vikao vya Kazi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa linalochunguza jinsi dunia inavyoweza kujikinga na majanga ya magonjwa ya mlipuko katika…
Continue Reading....