Mzee Mandela leo tarehe 18/7/2011, ametimiza miaka 93 ya uhai wake! dev.kisakuzi.com inamtakia afya tele na maisha marefu zaidi mzee wetu huyu.
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Wafanyikazi wa BBC waanza mgomo
WAANDISHI habari wengi wanaohudumu katika Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) wameanza mgomo wa siku moja kulalamikia mpango wa kuwaachisha kazi baadhi yao. Hii inafuatia…
Continue Reading....Somalia nchi hatari duniani!
UMOJA wa Mataifa umesema Somalia ni eneo lenye janga kubwa kabisa la kibinaadamu hivi sasa duniani, huku vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano…
Continue Reading....KUZALIWA SUDAN KUSINI: Ni furaha, kilio kwa Afrika?
*Taifa moja lagawanyika katikati ya ndoto za Afrika Moja *Kuendekeza udini, ukabila vyachochea mgawanyiko wake *Kuwa mwanachama mpya Jumuiya ya Afrika Mashariki JUBA, Sudan…
Continue Reading....Ajali ya ndege DRC, 50 wahofiwa kufa
DRC, Kongo NDEGE ya abiria iliyokuwa na watu 112 imeanguka kwenye uwanja wa ndege wa Kisangani huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Takriban watu 40…
Continue Reading....Sudan Kusini sasa nchi huru
Sudan, MAELFU ya Wananchi wa Sudan Kusini wamekusanyika kushuhudia kupandishwa kwa bendera mpya ya nchi hiyo kuashiria kupata uhuru wake, katika mji mkuu Juba. Rais…
Continue Reading....