Tanzania imetangaza kupiga marufuku biashara ya kukamata na kuwasafirisha wanyamapori kwenda nje ya nchi. Hatua hiyo imetangazwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati akijibu hoja…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Waziri Mkuu wa Uturuki ziarani Somalia
WAZIRI Mkuu wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuwasili nchini Somalia kuanza rasmi kampeni ya kukabiliana na baa la njaa nchini humo. Waziri huyo katika…
Continue Reading....Dola milioni 150 zachangwa kuisaidia Somalia
Waziri mkuu wa uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuwasili nchini Somalia kuanzisha rasmi kampeni ya kukabiliana na baa la njaa nchini humo. Waziri huyo mkuu…
Continue Reading....Suluhu ya mgogoro wa uchumi Ulaya wapatikana
RAIS wa Ufaransa Nicholas Sarkozy na Chansela wa Ujerumani Angela Merkel wametoa mapendekezo mapya kukabiliana na mgogoro wa kiuchumi unaokabili mataifa yanayotumia sarafu ya Euro.…
Continue Reading....Misaada yazidi kumiminika Somalia
Jumuiya ya nchi za kiislamu imeahidi kutoa msaada wa dola milioni 350 kuwasaidia waathiriwa wa baa la njaa nchini Somalia. Ahadi ya msaada…
Continue Reading....Maelfu waandamana kupinga ufisadi India
Maelfu ya raia wa India wamejitokeza mitaani kumunga mkono mwanaharakati wa kupinga ufisadi Anna Hazare wakiwa na mabango yaliyoikemea na kuishinikiza Serikali imwachie huru. Mwanaharakati…
Continue Reading....