NCHI ya Ufaransa imetangaza hali ya hatari na kufunga mipaka yake baada ya watu zaidi ya 120 kuuawa kwenye mashambulio kadha mjini Paris. Watu 120…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Watu Zaidi Ya 18 Wauwawa Ufaransa.
Watu zaidi ya 18 wameuwawa nchni Ufaransa katika jiji la Paris. Mtu moja alionekana akifytua risasi kwenye restaurant ya Petit Cambodge. Gazeti ya Liberation limetoa…
Continue Reading....EU Kutenga Mabilioni Kukabiliana na Wahamiaji Kutoka Afrika
VIONGOZI wa Muungano wa Ulaya wanatarajiwa kutenga euro mabilioni ya fedha kwa mataifa ya Afrika kuyawezesha kusaidia kupunguza wimbi la wahamiaji Ulaya. Tume ya Muungano…
Continue Reading....ISIS Wameshinda Safari hii
Kuna uwezekano mkubwa kuwa ndege iliyokuwa ikisafiri kutoka Misri kwenda Urusi iliangushwa kwa bomu. Wataalamu wa mambo ya usafiri wa anga kutoka Marekani na Ulaya,…
Continue Reading....Israel yazingira Maeneo ya Jerusalem Mashariki
Machafuko haya yalianza Oktoba mosi, pale mtuhumiwa mmoja wa kundi la Hamas alipowaua kwa kuwapiga risasi walowezi wawili wa Kiyahudi mbele ya watoto wao, katika…
Continue Reading....Mwanasiasa Christopher Afariki Dunia kwa ajali
Mwanasiasa machachari nchini amefariki dunia leo asubuhi katika kijiji cha Msolwa karibu na chalinze mkani pwani kwa ajali ya gari Taarifa za awali zinasema mtikila…
Continue Reading....