Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 103

Category: Habari za Kimataifa

Tuzo ya Mo Ibrahim Yakosa Mshindi Mwaka 2012

Posted on: October 15, 2012 - jomushi
Tuzo ya Mo Ibrahim Yakosa Mshindi Mwaka 2012

KAMATI ya kuteuwa mshindi wa tuzo ya Mo Ibrahim, ambayo hutolewa kwa viongozi wa Afrika walioonesha uongozi bora mwaka huu imekosa mshindi. Tuzo hiyo ya…

Continue Reading....

Wanawake Sasa Ruksa Kurithi Mali Botswana

Posted on: October 13, 2012 - jomushi
Wanawake Sasa Ruksa Kurithi Mali Botswana

MAHAKAMA Kuu nchini Botswana imebatilisha sheria ya kitamaduni ambayo awali iliwazuia wanawake kurithi mali nyumbani. Kutolewa na uamuzi huo ni neema kwa wanawake nchini humo…

Continue Reading....

Bara la Afrika Lafanikiwa Kupambana na Njaa

Posted on: October 11, 2012 - jomushi
Bara la Afrika Lafanikiwa Kupambana na Njaa

BARA la Afrika limekuwa na mafanikio makubwa katika kupambana na njaa kuliko nchi zingine katika Bara la Asia katika kipindi cha mwongo mmoja uliopita. Hali…

Continue Reading....

Rais Kibaki Agoma Kuidhinisha Marupurupu Manono kwa Wabunge, Asema ni Usaliti..!

Posted on: October 10, 2012 - jomushi
Rais Kibaki Agoma Kuidhinisha Marupurupu Manono kwa Wabunge, Asema ni Usaliti..!

RAIS wa Kenya, Mwai Kibaki amekataa kuidhinisha mipango ya wabunge wa taifa hilo kujipatia kitita kikubwa cha pesa kama marupurupu ya kuhudumu kama wabunge. Wabunge…

Continue Reading....

Waganda Waadhimisha Miaka 50 ya Uhuru

Posted on: October 9, 2012October 9, 2012 - jomushi
Waganda Waadhimisha Miaka 50 ya Uhuru

RAIA wa nchi ya Uganda leo wamekusanyika pamoja katika Uwanja wa Kololo nchini humo, kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Uganda kutoka utawala wa kikoloni…

Continue Reading....

Mahakama Yaruhusu Mau Mau Kuishtaki Uingereza

Posted on: October 5, 2012 - jomushi
Mahakama Yaruhusu Mau Mau Kuishtaki Uingereza

MAHAKAMA nchini Uingereza imetoa maamuzi kuwa wazee watatu wa Kenya ambao waliteswa na majeshi ya utawala wa kikoloni wa Uingereza wanaweza kufungua mashtaka dhidi ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari