DURU za Jeshi la Guinea Bissau, Afrika Magharibi, zinaeleza kuwa watu waliokuwa na silaha wameuwawa kwenye shambulio dhidi ya kambi ya Jeshi nje ya Mji…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Silaha za Wapiganaji wa Al Shabaab Zanaswa Puntland
SHEHENA kubwa ya silaha ambazo zilikuwa zinapelekwa nchini Somalia, zimekamatwa katika Jimbo la Puntland. Kwa mujibu wa Gavana mmoja wa jimbo hilo, Abdisamad Gallan alisema…
Continue Reading....Mbunge Kenya Afikishwa Mahakamani kwa Uchochezi
KIONGOZI moja Mkuu wa Kiisilamu nchini Kenya, ambaye pia ni mbunge mteule amefikishwa mahakamani akishtakiwa kwa kosa la uchochezi kwenye ghasia. Mbunge huyo, Sheikh Mohammad…
Continue Reading....Askari 10 wa Jeshi la Polisi Kenya Wajeruhiwa kwa Bomu
TAKRIBANI askari 10 wa Jeshi la Polisi Kenya wamejeruhiwa vibaya katika shambulizi la guruneti. Maofisa hao wa polisi walikuwa wakiendesha msako katika nyumba moja mjini…
Continue Reading....Obama Lands Punches In Rematch With Romney
A much more aggressive President Barack Obama showed up to the second presidential debate Tuesday, which at times devolved into angry crosstalk with Republican rival…
Continue Reading....Zaidi ya wafungwa 100 Watoroka Gerezani Nchini Libya
MAOFISA wa Libya wamesema wamewakamata wafungwa 60 kati ya Wafungwa 122 waliotoroka jela katika Mji Mkuu wa Tripoli. Maofisa sasa wanadhibiti magereza kadhaa, likiwemo gereza…
Continue Reading....