Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 101

Category: Habari za Kimataifa

Sudan Yaishtaki Israel Baraza la Usalama UN

Posted on: October 26, 2012 - jomushi
Sudan Yaishtaki Israel Baraza la Usalama UN

SUDAN imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liilaani Israel kwa kukishambulia kiwanda chake cha silaha mjini Khartoum, ikisema kwamba ina ushahidi kuwa mashambulizi…

Continue Reading....

Uganda Yapinga Madai ya UN Dhidi Yake

Posted on: October 26, 2012 - jomushi
Uganda Yapinga Madai ya UN Dhidi Yake

NCHI ya Uganda inatishia kujiondoa katika mazungumzo ya kuleta amani katika nchi kadhaa barani Afrika. Tisho hilo limekuja baada ya ripoti ya Umoja wa Mataifa…

Continue Reading....

Off-The-Record Interview Goes Public, Obama Lays Out 2nd-Term Goals

Posted on: October 24, 2012October 24, 2012 - jomushi
Off-The-Record Interview Goes Public, Obama Lays Out 2nd-Term Goals

PRESIDENT Barack Obama vowed in an interview published Wednesday that, if re-elected, he will forge a “grand bargain” with Republicans to reduce America’s debt and…

Continue Reading....

Mlipuko Watokea Kiwanda cha Silaha Sudan

Posted on: October 24, 2012 - jomushi
Mlipuko Watokea Kiwanda cha Silaha Sudan

KUMETOKEA mlipuko mkubwa katika kiwanda cha kutengeneza silaha kilichopo katika Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum. Mlipuko huo ulisababisha moto mkubwa na milipuko zaidi ilifuatia wakati…

Continue Reading....

Uharamia Wapungua Pwani ya Somalia

Posted on: October 23, 2012 - jomushi
Uharamia Wapungua Pwani ya Somalia

IDADI ya meli zinazotekwa na maharamia katika Pwani ya Somalia, zimepungua mwaka huu , kulingana na shirika la kimataifa la safari za majini. Ni meli…

Continue Reading....

M23 Yabadilisha Jina la Jeshi Lake

Posted on: October 22, 2012October 22, 2012 - jomushi
M23 Yabadilisha Jina la Jeshi Lake

Kundi la waasi la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, linaloshutumiwa kuzusha vurugu mashariki mwa nchi hiyo, limesema limebadili jina la tawi lake la…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari