Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 100

Category: Habari za Kimataifa

Mgahawa Mwingine Washambuliwa Mogadishu, Wanne Wafa

Posted on: November 3, 2012 - jomushi
Mgahawa Mwingine Washambuliwa Mogadishu, Wanne Wafa

WATU wapatao wanne wameuwawa na wengine 10 kujeruhiwa katika shambulio dhidi ya mgahawa mmoja mjini Mogadishu, Somalia. Polisi wa Somalia wakisaidia jeruhi katika shambulio la…

Continue Reading....

Kimbunga Chauwa 16 Marekani

Posted on: October 30, 2012October 30, 2012 - jomushi
Kimbunga Chauwa 16 Marekani

IDADI ya waliofariki dunia kutokana na Kimbunga kikubwa cha Sandy huko nchini Marekani imefikia 16 ambapo zaidi ya nusu ya vifo hivyo vimetokana na watu…

Continue Reading....

Superstorm Sandy Batters US Eastern Coast

Posted on: October 30, 2012 - jomushi
Superstorm Sandy Batters US Eastern Coast

Former hurricane Sandy has battered parts of the eastern United States, flooding major cities and killing at least 13 people. The National Hurricane Centre, which…

Continue Reading....

Hilary Clinton Ziarani Nchini Nigeria

Posted on: October 29, 2012 - jomushi
Hilary Clinton Ziarani Nchini Nigeria

WAZIRI wa mambo ya nje wa Marekani, Hilary Clinton yuko nchini Nigeria, kuzungumzia swala la kukithiri kwa tisho la usalama kutokana na makundi ya wapiganaji…

Continue Reading....

Polisi Waua Watatu Mombasa, Kamanda “Gordon” auwawa Somalia

Posted on: October 28, 2012October 28, 2012 - jomushi
Polisi Waua Watatu Mombasa, Kamanda “Gordon” auwawa Somalia

*Kamanda “Gordon” auwawa Somalia POLISI nchini Kenya wakiri kuwauwa watu wawili wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Kiislamu mjini Mombasa. Msemaji wa polisi alieleza kuwa watu hao…

Continue Reading....

Mapigano Uganda, Askari Wauliwa na Waasi wa DRC

Posted on: October 26, 2012 - jomushi
Mapigano Uganda, Askari Wauliwa na Waasi wa DRC

TAARIFA zinasema kuwa askari wawili wanaolinda mbuga, pamoja na mwanajeshi mmoja wameuliwa na waasi katika Mbuga ya Wanyama ya Virunga, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari