MKUTANO unaohusu ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta kutoka Uganda hadi Bahari ya Hindi umeanza mjini Kampala nchini Uganda. Mkutano huo unayashirikisha mataifa waanzilishi wa…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Bunge Kujadili Kumn’goa Zuma Jumanne
Bunge la Afrika kusini litajadili hoja ya kumng’oa rais Jacob Zuma madarakani siku ya Jumanne. Spika wa bunge la Afrika Kusini ametoa taarifa hiyo baada…
Continue Reading....Mahakama ya Afrika Kutoa Hukumu ya Rufaa ya Raia wa Kenya
Na Kulwa Mayombi, EANA Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) inatarajia kutoa hukumu ya rufaa ya kesi ya mauaji na wizi…
Continue Reading....Tanzania Miongoni mwa Nchi Zisizo na Furaha Diniani
TANZANIA ni miongoni mwa nchi kumi za mwisho kwa viwango vya furaha kwa mujibu wa Ripoti ya Viwango vya Furaha Duniani ya mwaka 2016 ambayo…
Continue Reading....Rais Kagame Afuata Nyayo za Magufuli…!
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amelaumu Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kufanya matumizi holela ya fedha kutokana na mawaziri kufanya ziara za mara kwa mara…
Continue Reading....Jua Lanaswa na Mwezi Indonesia
Indonesia ndio nchi pekee iliyoshuhudia tukio hilo kote duniani. Hoteli zilizopo katika maeneo mazuri ya kushuhudiwa jua likinaswa zilijaa miezi kadhaa iliopita na katika baadhi…
Continue Reading....