Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 99

Category: Burudani

Foolish Age ya Lulu Kuzinduliwa Agosti 30

Posted on: August 17, 2013August 17, 2013 - jomushi
Foolish Age ya Lulu Kuzinduliwa Agosti 30

Msaani mwenye kipaji cha Hali ya juu nchini na Mwenye umri mdogo Elizabeth Michael “LULU”anatarajia kuzindua filamu yake ya Kwanza tokea alipotoka Gerezani, Filamu hii…

Continue Reading....

Msanii Mfuga Bundi Aeleza Namna Anavyowapenda Ndege Hao

Posted on: August 17, 2013 - jomushi
Msanii Mfuga Bundi Aeleza Namna Anavyowapenda Ndege Hao

MSANII na Kiongozi wa kundi la Ngoma Afrika Bend, Kamanda Ras Makunja ameeleza sababu ya kuwapenda ndege aina ya bundi na kuamua kuwafuga nyumbani kwake,…

Continue Reading....

Mpambano wa Sadiki Momba na Amos Mwamakula Waiva

Posted on: August 17, 2013 - jomushi
Mpambano wa Sadiki Momba na Amos Mwamakula Waiva

Continue Reading....

Bia ya Tusker Yazinduwa Shindano la ‘Tusker Project Fame’

Posted on: August 17, 2013August 17, 2013 - jomushi
Bia ya Tusker Yazinduwa Shindano la ‘Tusker Project Fame’

Meneja wa Bia ya Tusker kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti, Sialouise Shayo (katikati) akizungumza na wanahabari leo kuhusu  TUSKER PROJECT FAME. Kushoto ni Meneja…

Continue Reading....

Miss Tanzania Beauty Pageant…!

Posted on: August 16, 2013 - jomushi
Miss Tanzania Beauty Pageant…!

  ANY INFOS FOR NOW CALL 202-830-8904

Continue Reading....

FFU wa Ngoma Africa Band Watwaa Tena International Diaspora Award 2013

Posted on: August 16, 2013 - jomushi
FFU wa Ngoma Africa Band Watwaa Tena International Diaspora Award 2013

*Mabalozi wa Kiafrika nchini Ujerumani waipongeza KWA mara nyingine tena Ngoma Africa Band aka FFU wamefanikiwa kutetea ubingwa wao wa Bendi Bora na kujichukulia tuzo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari