Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 95

Category: Burudani

Shuhudia Burudani Anuai Ndani ya Tamasha la Jinsia Dar

Posted on: September 6, 2013September 6, 2013 - jomushi
Shuhudia Burudani Anuai Ndani ya Tamasha la Jinsia Dar

Ngongoti na ngoma…! Pichani ni moja ya vikundi vya ngoma vilivyokuwa vikitoa burudani katika maadhimisho ya Tamasha la Jinsia Tanzania vikitoa burudani.

Continue Reading....

Miss Tanzania 2012, Brigitte Lymo Aelekea Indosia Kushiriki Miss World 2013

Posted on: September 3, 2013 - jomushi
Miss Tanzania 2012, Brigitte Lymo Aelekea Indosia Kushiriki Miss World 2013

Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Urembo ya Dunia, Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Lymo, ameondoka nchini leo kwenda nchini Indosia katika kambi ya Miss…

Continue Reading....

Huyu Ndiye Redd’s Miss Photogenic 2013

Posted on: September 2, 2013 - jomushi
Huyu Ndiye Redd’s Miss Photogenic 2013

MREMBO Happiness Watimanywa (19) atimaye ameibuka kidedea kati ya walimbwende wenzake 30 na kutwaa taji la Redds Miss Photogenic 2013 na kupata nafasi ya kwanza…

Continue Reading....

Kigoma Yaitikia Wito wa ‘Kikwetu Kwetu’

Posted on: September 2, 2013 - jomushi
Kigoma Yaitikia Wito wa ‘Kikwetu Kwetu’

Na Mwandishi Wetu MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul, juzi alifunika katika tamasha la Kili Music Tour lililofanyika kwenye Uwanja wa Lake…

Continue Reading....

Henry Joseph Aitwa Stars

Posted on: September 2, 2013September 2, 2013 - jomushi
Henry 	Joseph Aitwa Stars

KOCHA MKUU wa Taifa Stars, Kim Poulsen amemjumuisha mchezaji Henry Joseph wa Simba kwenye kikosi chake kinachojiandaa kwa mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia…

Continue Reading....

Hawa Ndio Warembo wa Redds Miss Tanzania 2013

Posted on: September 1, 2013 - jomushi
Hawa Ndio Warembo wa Redds Miss Tanzania 2013

WASHIRIKI wa shindano la Redd’s Miss Tanzania leo watapata fursa ya kumjua mrembo wa kwanza kuingia katika hatua ya Nusu fainali ya Shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari